Featured

    Featured Posts

    www.nteltanzania.blogspot.com

    Social Icons

    This technologyzaleo blogsite is all about scientist,innovators,computer maintanance and networking and any related technology. For more knowledge you may visit this site to get any new version of technologies together with lessons for how you can handle your matters.feel at your home and you're welcome
Loading...

Angalia Wapenzi Wangapi Mwenzio Amewahi Kuwa Nao-DUME Love Tree App:

dume love tree1

Tumezoea kuona Application za Facebook ambazo nyingi zimetengenezwa na wenzetu na tunazitumia lakini kwa hivi karibuni kasi ya kuona App za michezo zilizotengenezwa hapa nchini imeongezeka. Uzuri wa kuwa na App zilizotengenezwa Africa ni kuwa zinalenga maisha ya mtu wa kawaida tofauti na za wenzetu ambazo zimewalenga wale walioko nchi za magharibi ambao maisha yao ni tofauti na ya kwetu. Mfano wa App hii ni DUME Love Tree ambayo ipo katika ukurasa wa Facebook wa DUME Condoms ikiwa imetengenezwa na kampuni ya AIM Group.

NJIA KUMI RAHISI TU ZA KUIFANYA PC YAKO IWE FASTA KWENYE MTANDAO (INTERNET)..!!


Internet ni mtandao muhimu katika maisha yetu sasa. Unaweza kufanya biashara, kuangalia matokeo, filamu, muziki na mambo mengi kutaja machache tu.Spidi ya jinsi mambo yanavyopakuliwa mtandaoni hutofautana baina ya watumiaji wa mtandao huu.. Kwa kweli internet yetu Afric a bado  ipo nyuma kidogo, tunapata spidi ndogo ukilinganisha na mabara mengine yaliyoendelea. Lakini hiyo sio sababu kubwa nyuma ya spidi ndogo ya internet ambayo wengi wetu tumekuwa tukipata.

HIZI NDIZO PROGRAM MUHIMU KWA AJILI YA COMPUTER YAKO..!!



Computer ina uwezo wa kufanya mambo ambayo binadamu hatokuja kuweza kuyafanya kirahisi. Lakini, haiwezi kufanya kitu bila kupewa amri Fulani. Zaidi haiwezi kujitunza,

How Immune System Fights Off Malaria..!!



The parasites that cause malaria are exquisitely adapted to the various hosts they infect -- so studying the disease in mice doesn't necessarily reveal information that could lead to drugs effective against human disease

MFUMO WA TECHNOLOJIA YA TIBA YA MBALI "TELEMEDICINE" NCHINI TANZANIA..!! FURAHIA ULIMWENGU WA TECHNOLOGY SASA


Samsung Galaxy S5 Itascan Macho Yako Kutoa Lock Ya Simu

eye-scanning-sensor-in-glaaxy-s5
Rumors zimezidi kusambaa kuhusu Samsung Galaxy S5 ambayo itatoka January mwakani. Tetesi mpya kabisa kuhusu simu hiyo inayosubiriwa na wengi ni kwamba S5 itakuwa na ‘kidude’ ambacho kitakuwezesha wewe kuseti scan ya macho kama njia ya kutoa password.

HOW TO HACK ANY FACEBOOK ACCOUNT

Picture
© Copyright NTEL TANZANIA
Back To Top