Tangu
kugunduliwa kwa Smartphone, watu wengi hususan vijana wamekuwa
wakitumia sana simu hizi hasa nyakati za usiku. Utafiti uliofanya na
wataalamu toka Michigan
State University umeonesha kuwa Kukodolea sana macho Smartphones wakati
wa usiku kunapelekea mtu kujisikua mchovu sana siku inayo fuata.
Utafiti hu uliwahusisha mameneja 82 na waajiriwa wa kawaida 161 ambao
hutumia Smartphones baada ya saatatu usiku, watumishi hawa wote
waliikuta wakiwa na ugonjwa wa "smartphone hangover" sasa sijui wewe unatmia mpaka saangapi??
Hayani maneno ya Profesa msaidizi MSU Russell Johnson ;
“Smartphones are almost perfectly designed to disrupt sleep,”
Kaaaaaaazi kweli kweli. Hata hivyo ameshauri watu wazime mapema sana Smartphone zao ili wapate muda wa kutosha wa kupumzika.
Chanzo {Yahoo}